Τετάρτη 7 Οκτωβρίου 2015

Kutana na Wanadamu wa Kibera, Makazi ya ‘Uswahili’ zaidi Barani Afrika


 Aerial view of Kibera slum in Nairobi, Kenya. Photo
Picha ya angani ya makazi duni ya Kibera Nairobi, Kenya. Picha imeruhusiwa kutumika chini ya leseni ya Creative Commons na PSchreibkraft.

Global Voices in Swahili
 
Kuna tovuti ya picha inayoitwa wanadamu wa New York (Humans of New York) ambayo imehamasisha kuweko kwa wanadamu wa Kibera ama (Humans of Kibera). Huu ni mradi wa Mtandao wa Habari wa Kibera (KNN), kikundi cha waandishi vijana wa habari kutoka Kibera, Nairobi, Kenya. Mradi huu unatuonyesha vyema maisha ya wakazi wa Kibera—makazi duni yaliyo kubwa zaidi Kenya—kwa mtandao wa Tumblr.
Hizi ni picha kadhaa zinazosimulia maisha ya Wanadamu wa Kibera:

  

Alfred Majiga
“When we vote as citizens we don't get the exact result as per our expectation, I want Obama to talk to the electoral body of Kenya to be transparent with its citizen because those are the root cause of division in our Country.”  #ObamavisittoKenya #HumansofKibera.

Δεν υπάρχουν σχόλια:

Δημοσίευση σχολίου