Παρασκευή 19 Μαΐου 2017

Afrika: Nchi tajiri - watu maskini


 
 
Nchi 48 zawekwa kundi la nchi maskini duniani (2012)

majira-hall
Na Rachel Balama

UMOJA wa Mataifa (UN), umeziweka nchi 48 katika kundi la nchi maskini duniani (LDCs), zikiwemo nchi 33 za Afrika, Asia (9), Pacific (5) na Caribbean (1).

Ripoti ya nchi maskini sana duniani ya mwaka 2012 iliyotolewa na Shirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD) kutoka Geneva, nchini Uswisi, ilisema idadi ya watu waliohamia Ulaya kutoka nchi maskini sana (LDCs) iliongezeka.

Ongezeko hilo ni kutoka watu milioni 19 mwaka 2000 hadi milioni 27 mwaka 2010, sawa na asilimia 3.3 ya wakazi wote wa nchi hizo.

Kwa mujibu wa ripoti ya nchi maskini sana duniani ya mwaka 2012, iliyotolewa na UNCTAD, ilisema nchi maskini sana duniani zinatoa asilimia moja ya wahamiaji duniani kote.

Imesema wahamiaji wanne kati ya watano kutoka LDCs, wanaishi katika nchi zinazoendelea (Kusini) na mmoja kati wa watano ndiye anaishi kwenye nchi zilizoendelea (Kaskazini).

“Kiwango cha fedha zinazotumwa na raia waliohamia ng’ambo kwenda katika nchi zao, kiliongezeka mara nane kati ya mwaka 1990 na 2011, kutoka dola bilioni 3.5 hadi bilioni 27.

“Mwaka 2011, kiasi cha fedha zilizotumwa kwenda nchini Tanzania kutoka Uingereza zilikuwa dola milioni 4.5, kutoka Canada milioni 3.2 na kutoka Kenya milioni 2.5,” ilisema taarifa hiyo.

Fedha zilizotumwa kwenda LDCs, zilikuwa mara mbili ya thamani ya uwekezaji wa moja kwa moja (FDI).

Nchi maskini zilizotajwa ni Angola, Benin, Burkina Faso, Burundi, Central African Republic, Chad, Comoros, Congo (DRC), Djibouti, Equatorial Guinea, Eritrea, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Lesotho, Liberia, Madagascar na Malawi.

Nyingine ni Mali, Mauritania, Msumbiji, Niger, Rwanda, Sao Tome na Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Togo, Uganda, Tanzania, Zambia, Afghanistan, Bangladesh, Bhutan, Cambodia, Lao, Myanmar, Nepal, Timor-Leste, Yemen, Caribbean, Haiti,
Kiribati, Samoa, Solomon Islands, Tuvalu na Vanuatu.

20 bora ya nchi masikini zaidi duniani (2013)

makoleko

Ni nchi gani masikini zaidi duniani? Ifuatayo ni orodha ambayo imechapichwa katika mtandao wa Wikipedia kutoka Shirika la Fedha Ulimwenguni (IMF) mwaka 2011 ikizingatia pato la ndani la nchi huzika.
Tangu mwaka 1970, kumekuwa na taarifa mbalimbali juu ya nchi zinazoendelea. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalojihusisha na maendeleo ya watu iliyotoka mwaka 2010, muda wa kuishi katika nchi zinazoendelea imeongezeka kutoka miaka 59 mwaka 1970 hadi miaka 70 mwaka 2010. Idadi ya watoto waliotakiwa kwenda shule nayo imeongezeka kutoka 55% hadi 70% katika shule zote za msingi na sekondari. Pia katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, pato la taifa liliongezeka mara mbili kwa zaidi ya dola 10,000.
Nchi masikini zinainuliwa na nchi tajiri, lakini siyo nchi zote zinakuwa haraka kiuchumi. Kwa mfano, baadhi ya nchi zipatikanazo katika jangwa la Sahara zinakuwa kidogo au hazikui kabisa, hii hasa ni kutokana na uwepo wa ugonjwa hatari wa UKIMWI na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Orodha kamili ya 20 bora ya nchi masikini zaidi duniani:

#1. Democratic Republic of the Congo
Pato la taifa: dola 348 (kwa mwaka 2011) Hii haichanganywi na nchi jirani ya Jamhuri ya Congo, nchini Jamhuri ya kidemkrasia ya Congo imekuwa masikini na inaongoza katika orodha hii duniani kwa mwaka 2010. Nchi hii mara ya kwanza ilifahamika kwa jina la Zaire mpaka mwaka 1997. Ni nchi kubwa duniani ambayo hutumia lugha ya kifaransa kama lugha maalumu – na nchi hii ina watu milioni 6 zaidi ya watu wa Ufaransa (71 million nchini D.R Congo wakati Ufaransa ina watu 65 million). Vita ya pili nchini humo imeanza mwaka 1998 ambayo imeididimiza zaidi nchi hiyo. Ni vita ambayo imehusisha wanajeshi wa kigeni (kutoka nchi za kigeni 7) ni vita ambayo ni mbaya zaidi ukiiondoa Vita kuu ya Pili ya Dunia (World War II) – mwaka 2008 vita vya pili vya Congo na mpaka hivi vinavyoendelea, vimegharimu maisha ya zaidi ya watu 5.4 million.

#2. Liberia
Pato la taifa: dola 456 (mwaka 2011) Nchi ya Liberia ni moja ya nchi chache za kiafrika ambazo hazijatawaliwa na watu wa Ulaya Europe. Badala yake, nchi hii ya Liberia ilikuwa ni makao ya watumwa waliorudishwa kutoka nchini Marekani baada ya kusitishwa biashara ya watumwa. Watumwa hawa ndiyo wakatumia kisomo chao kisha wakaanzisha serikali ambayo kwa kila namna inafanana na ile ya Marekani. Mwaka 1980 aliyekuwa rais wan chi hiyo alipinduliwa kisha kikafuata kipindi cha kupotea kwa amani na vita vya ndani. Baada ya mauaji ya mamia kwa maelfu ya watu, mwaka 2003 mpango wa amani ambao ulipelekea uchaguzi huru na wa amani mwaka 2005 ulisainiwa. Leo, Liberia inakabiliwa na athari za vita vya ndani hata kusababisha uchumi wake kuyumba kwa kiasi kikubwa, ikiwa na zaidi ya 85% ya watu wake wakiishi chini ya dola moja kwa siku.

#3. Zimbabwe
Pato la taifa: dola 487 (mwaka 2011) Serikali ya Zimbabwe ilitoa taarifa za kibenki ambayo ilionesha dola 100 trillion mnamo mwezi January, 2009. Pia kutokana na matatizo ya kiuchumi, umri wa kuishi nchi humo ni ndogo zaidi duniani ikiwa ni miaka 37 kwa wanaume na miaka 34 kwa wanawake. Moja ya tatizo la vifo vya mapema ni kuwa 20.1% ya watu wake wana maambukizi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI. Suala la afya katika nchi hii halijaimarishwa.

#4. Burundi
Pato la taifa: dola 615 (mwaka 2011) Nchi ya Burundi inafahamika kutokana na vita vya ukabila na vya wenyewe kwa wenyewe. Burundi haina jata mara moja kipindi chochote cha amani hata kusababisha kuwa nafasi ya nne katika orodha hii. Haina Jiografia nzuri, mfumo mbovu wa serikali, hakuna uhuru wa uchumi, uhaba wa shule hata kusababisha kuwa na wasomi wachache, maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI. Inakisiwa kuwa 80% ya warundi wanaishi katika umasikini mkubwa na kwa mujibu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, 57% ya watoto walio chini ya umri wa miaka 5 hawapati chakula bora.

#5. Eritrea
Pato la taifa: dola 735 (mwaka 2011) Nchi hii imeathiriwa zaidi na ukoni wa Italia katika karne ya 19. Kutokana na kuwa katika ule mfereji wa Suez mchi hii imejikuta ikitawaliwa na Italia mwaka mmoja tu tangu kufunguliwa kwake mwaka 1869 na kwa sababu hiyo hiyo Uingereza ikaitawala mwaka 1941. Leo hali ya uchumi wa Eritrea haijaimarishwa na pato la taifa limekuwa kwa 1.2% kati ya mwaka 2005 na 2008; mwaka 2009 pato lilikuwa kwa wastani wa 2.0%.

Nchi nyingine ni;

#6. Jamhuri ya Afrika ya Kati
#7. Niger
#8. Sierra Leone
#9. Malawi
#10. Togo
#11. Madagascar
#12. Afghanistan
#13. Guinea
#14. Mozambique
#15. Ethiopia
#16. Mali
#17. Guinea-Bissau
#18. Comoros
#19. Haiti
#20. Uganda

LIST YA MARAIS TAJIRI BARANI AFRIKA (2014)


In Global News, Slider
 
9. Robert Mugambe
rais wa Zimbabwe amekuwa madarakani kwa takribani miaka 25 richa ya chaguzi znazofanyika nnchini humo lakini hadi hii leo bado anashikilia madaraka, anautajiri wa dola million kumi 10 za kimarekani

mugabe

8. General Idrid Deby Itno
huyu ni mwanasiasa kutoka Chad ambae amekuwa madarakani toka mwaka 1990, mwezi October mwaka 2006 jarida la Forbes lilitaja Chad kuwa ndio nnchi inayoongoza kwa rushwa duniani.ruzuku Kutoka kwenye mradi wa mafuta wa Chad-Cameroon na bomba la mafuta ambapo fedha zake zilikusudiwa kupambana na njaa pamoja na kukuza miradi ya maendeleo badala yake alitumia fedha hizo kununua majeshi na kukuza nguvu ya Idris ambae anakadiliwa kuwa na utajiri wa dola milioni hamsini 50 za kimarekani.

idris

7. Goodluck Ebele Jonathan
huyu ni rais wa Nigeria anautajiri wa dola milioni mia moja za kimarekani

SONY DSC

6. King Mswati III
Huyu ni rais Swaziland

mwasti

5. Poul Biya
huyu ni mwanasiasa kutoka Cameroon ambae amekuwa akiingoza nchi hiyo toka November 6 mwaka 1982 rekodi inayomfanya kuwa miongoni mwa marais walioongoza kwa muda mrefu duniani kwa kipindi cha miaka 31, anamiliki kiasi cha dola milioni 200 za kimarekani inasemekana Poul Biya ndiye tajiri mkubwa huko Cameroon lakini pia imeripotiwa kuwa msafara wake ndio msafara wa gharama kuliko kiongozi yeyote duniani hata rais wa marekani kwa kutumia sio chini ya dola elfu 40 za ki

biya

4. Uhuru Kenyatta
Uhuru Muigai Kenyata huyu ni rais wa Kenya alizaliwa octoba 26 mwaka 1961 akiwa kama rais wanne wa Kenya na wasasa.
Ameanza rasmi kazi hiyo ya urais april 9 2013, pia ni moja katio ya vijana matajiri huko Kenya anakadiliwa kuwa na dola za kimarekani milioni 500, utajili huu umetokana na kumiliki zaidi ya heka 500000 kwenye ardhi ya Kenya lakini pia akiwa mwanahisa wa makampuni ya habari, hoteli pamoja na benki

 KENYATA

3. Teodoro Obiang Nguema mbasongo
huyu amekuwa akiiongoza equatoliar Guinea kwa miaka 34 baada ya kumuangusha mjomba wake 1979 kwa mapinduzi ya kijeshi, inasemekana chini ya uongozi wake kwenye taifa hilo lenye utajiri wa mafuta wananchi hawanufaiki kabisa na utajili huo na kuishi chini ya dola moja kwa siku, mototo wake wa kiume anafuata nyayo zake kwa kuishi kwenye bangaloo lenye thamani ya dola milioni 34 za kimarekani huko Malibu na gari aina ya Bugatti veyrons yenye thamani ya dola milioni 1.7 za kimarekani.

Teodoro-Obiang

2. Mohamed wa VI wa Morocco
huyu aliwahi kuwa mfalme wa Morocco miaka 15 iliyopita kutoka kwenye familia ya ktajili aliweka ahadi za kuongeza ajira na kupunguza umaskini pamoja na rushwa na baadae kufanikiwa hii ilimfanya apendwe saana kuwa kiongozi mkweli kwa raia wake anautajiri wa dola billion 2.5 za kimarekani

roiobama

1. Jose Eduardo Dos Santos
amekuwa madarakani kwa takribani miaka 34 kama rais wa Angola anautajili wa dola bilioni 20 za kimarekani kama utajili binafsi, huku mwanae Isabel Dos Santos akitajwa kuwa mwanamke tajiri Afrika na dunia kama mwanamke mweusi tajiri kwa kumiliki zaidi ya dola bilioni 3.4 za kimarekani kama utajiri binafsi

edu

Ni nchi zipi 10 tajiri Afrika? majibu yote ninayo kwenye hii post (2015)Ukisema uingie mtaani sasa hivi kumuuliza mtu mmojammoja ni nchi ipi tajiri zaidi Afrika huenda ukapata majibu tofauti lakini uhakika wa hilo upo kwenye ripoti mpya iliyofanywa kwa bara la Afrika.
Nigeria ni nchi ambayo Dunia inajua kuhusu mafuta yao, inajulikana pia majina ya matajiri wao kama akina Alhaji Aliko Dangote.. mengine yanayosikika sana kutoka huko ni ishu kama za mashambulio ya Kigaidi, leo imeingia kwenye headlines nyingine.
Utafiti uliofanyika umekuja na majibu tayari, Nigeria ndio nchi inayoongoza kwa utajiri sasahivi ndani ya Afrika… South Africa iko nafasi ya pili alafu zinafuatia nchi nyingine.
Ninayo list ya Top 10 ya nchi zote hapa.

No.1: Nigeria, hii ina sifa nyingine kubwa kuwa nchi inayoongoza kwa kuwa na watu wengi zaidi Afrika, na pia utajiri wake unatokana sana na uzalishaji wa mafuta.

No.2: South Africa, sehemu kubwa ya Utajiri wao inatokana na uchimbaji wa madini.

No.3: Misri

No.4: Algeria, nao wako kwenye list ya wauzaji wakubwa wa mafuta na gesi.

No.5: Morocco, uwekezaji wao mkubwa uko kwenye Utalii, viwanda vya nguo na Kilimo.

No.6: Sudan, sio rahisi kukutana na nguo imeandikwa ‘Made in Sudan’, lakini wao ni wauzaji wakubwa sana wa pamba duniani.

No.7: Kenya, biashara yao kubwa ni chai na kahawa.. sikuwahi kujua kumbe hata biashara ya kuuza maua kwenda Ulaya nayo ni biashara inayoingiza pesa nyingi Kenya.

No.8: Angola, japo walipitia kipindi kigumu cha vita kwa zaidi ya miaka 25, bado madini, mafuta na kilimo vimeiweka nchi hiyo ndani ya Top 10 ya nchi tajiri Afrika.

No.9: Libya, Hii ndio nchi ya kwanza Afrika ambayo wataalam wamesema kuwa ina akiba kubwa ya mafuta ndani ya Afrika mpaka sasa, na hiyo ndio inayoiingizia nchi hiyo pesa nyingi zaidi kila siku.

No.10: Tunisia, wao biashara yao kubwa ni spare za magari, kuuza mafuta na utalii.Ni nchi gani masikini zaidi duniani? Ifuatayo ni orodha ambayo imechapichwa katika mtandao wa Wikipedia kutoka Shirika la Fedha Ulimwenguni (IMF) mwaka 2011 ikizingatia pato la ndani la nchi huzika. Tangu mwaka 1970, kumekuwa na taarifa mbalimbali juu ya nchi zinazoendelea. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalojihusisha na maendeleo ya watu iliyotoka mwaka 2010, muda wa kuishi katika nchi zinazoendelea imeongezeka kutoka miaka 59 mwaka 1970 hadi miaka 70 mwaka 2010. Idadi ya watoto waliotakiwa kwenda shule nayo imeongezeka kutoka 55% hadi 70% katika shule zote za msingi na sekondari. Pia katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, pato la taifa liliongezeka mara mbili kwa zaidi ya dola 10,000. Nchi masikini zinainuliwa na nchi tajiri, lakini siyo nchi zote zinakuwa haraka kiuchumi. Kwa mfano, baadhi ya nchi zipatikanazo katika jangwa la Sahara zinakuwa kidogo au hazikui kabisa, hii hasa ni kutokana na uwepo wa ugonjwa hatari wa UKIMWI na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Orodha kamili ya 20 bora ya nchi masikini zaidi duniani: #1. Congo, Democratic Republic of the Pato la taifa: dola 348 (kwa mwaka 2011) Hii haichanganywi na nchi jirani ya Jamhuri ya Congo, nchini Jamhuri ya kidemkrasia ya Congo imekuwa masikini na inaongoza katika orodha hii duniani kwa mwaka 2010. Nchi hii mara ya kwanza ilifahamika kwa jina la Zaire mpaka mwaka 1997. Ni nchi kubwa duniani ambayo hutumia lugha ya kifaransa kama lugha maalumu – na nchi hii ina watu milioni 6 zaidi ya watu wa Ufaransa (71 million nchini D.R Congo wakati Ufaransa ina watu 65 million). Vita ya pili nchini humo imeanza mwaka 1998 ambayo imeididimiza zaidi nchi hiyo. Ni vita ambayo imehusisha wanajeshi wa kigeni (kutoka nchi za kigeni 7) ni vita ambayo ni mbaya zaidi ukiiondoa Vita kuu ya Pili ya Dunia (World War II) – mwaka 2008 vita vya pili vya Congo na mpaka hivi vinavyoendelea, vimegharimu maisha ya zaidi ya watu 5.4 million. #2. Liberia Pato la taifa: dola 456 (mwaka 2011) Nchi ya Liberia ni moja ya nchi chache za kiafrika ambazo hazijatawaliwa na watu wa Ulaya Europe. Badala yake, nchi hii ya Liberia ilikuwa ni makao ya watumwa waliorudishwa kutoka nchini Marekani baada ya kusitishwa biashara ya watumwa. Watumwa hawa ndiyo wakatumia kisomo chao kisha wakaanzisha serikali ambayo kwa kila namna inafanana na ile ya Marekani. Mwaka 1980 aliyekuwa rais wan chi hiyo alipinduliwa kisha kikafuata kipindi cha kupotea kwa amani na vita vya ndani. Baada ya mauaji ya mamia kwa maelfu ya watu, mwaka 2003 mpango wa amani ambao ulipelekea uchaguzi huru na wa amani mwaka 2005 ulisainiwa. Leo, Liberia inakabiliwa na athari za vita vya ndani hata kusababisha uchumi wake kuyumba kwa kiasi kikubwa, ikiwa na zaidi ya 85% ya watu wake wakiishi chini ya dola moja kwa siku. #3. Zimbabwe Pato la taifa: dola 487 (mwaka 2011) Serikali ya Zimbabwe ilitoa taarifa za kibenki ambayo ilionesha dola 100 trillion mnamo mwezi January, 2009. Pia kutokana na matatizo ya kiuchumi, umri wa kuishi nchi humo ni ndogo zaidi duniani ikiwa ni miaka 37 kwa wanaume na miaka 34 kwa wanawake. Moja ya tatizo la vifo vya mapema ni kuwa 20.1% ya watu wake wana maambukizi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI. Suala la afya katika nchi hii halijaimarishwa. #4. Burundi Pato la taifa: dola 615 (mwaka 2011) Nchi ya Burundi inafahamika kutokana na vita vya ukabila na vya wenyewe kwa wenyewe. Burundi haina jata mara moja kipindi chochote cha amani hata kusababisha kuwa nafasi ya nne katika orodha hii. Haina Jiografia nzuri, mfumo mbovu wa serikali, hakuna uhuru wa uchumi, uhaba wa shule hata kusababisha kuwa na wasomi wachache, maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI. Inakisiwa kuwa 80% ya warundi wanaishi katika umasikini mkubwa na kwa mujibu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, 57% ya watoto walio chini ya umri wa miaka 5 hawapati chakula bora. #5. Eritrea Pato la taifa: dola 735 (mwaka 2011) Nchi hii imeathiriwa zaidi na ukoni wa Italia katika karne ya 19. Kutokana na kuwa katika ule mfereji wa Suez mchi hii imejikuta ikitawaliwa na Italia mwaka mmoja tu tangu kufunguliwa kwake mwaka 1869 na kwa sababu hiyo hiyo Uingereza ikaitawala mwaka 1941. Leo hali ya uchumi wa Eritrea haijaimarishwa na pato la taifa limekuwa kwa 1.2% kati ya mwaka 2005 na 2008; mwaka 2009 pato lilikuwa kwa wastani wa 2.0%. Nchi nyingine ni; #6. Jamhuri ya Afrika ya Kati #7. Niger #8. Sierra Leone #9. Malawi #10. Togo #11. Madagascar #12. Afghanistan #13. Guinea #14. Mozambique #15. Ethiopia #16. Mali #17. Guinea-Bissau #18. Comoros #19. Haiti #20. Uganda

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
Ni nchi gani masikini zaidi duniani? Ifuatayo ni orodha ambayo imechapichwa katika mtandao wa Wikipedia kutoka Shirika la Fedha Ulimwenguni (IMF) mwaka 2011 ikizingatia pato la ndani la nchi huzika. Tangu mwaka 1970, kumekuwa na taarifa mbalimbali juu ya nchi zinazoendelea. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalojihusisha na maendeleo ya watu iliyotoka mwaka 2010, muda wa kuishi katika nchi zinazoendelea imeongezeka kutoka miaka 59 mwaka 1970 hadi miaka 70 mwaka 2010. Idadi ya watoto waliotakiwa kwenda shule nayo imeongezeka kutoka 55% hadi 70% katika shule zote za msingi na sekondari. Pia katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, pato la taifa liliongezeka mara mbili kwa zaidi ya dola 10,000. Nchi masikini zinainuliwa na nchi tajiri, lakini siyo nchi zote zinakuwa haraka kiuchumi. Kwa mfano, baadhi ya nchi zipatikanazo katika jangwa la Sahara zinakuwa kidogo au hazikui kabisa, hii hasa ni kutokana na uwepo wa ugonjwa hatari wa UKIMWI na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Orodha kamili ya 20 bora ya nchi masikini zaidi duniani: #1. Congo, Democratic Republic of the Pato la taifa: dola 348 (kwa mwaka 2011) Hii haichanganywi na nchi jirani ya Jamhuri ya Congo, nchini Jamhuri ya kidemkrasia ya Congo imekuwa masikini na inaongoza katika orodha hii duniani kwa mwaka 2010. Nchi hii mara ya kwanza ilifahamika kwa jina la Zaire mpaka mwaka 1997. Ni nchi kubwa duniani ambayo hutumia lugha ya kifaransa kama lugha maalumu – na nchi hii ina watu milioni 6 zaidi ya watu wa Ufaransa (71 million nchini D.R Congo wakati Ufaransa ina watu 65 million). Vita ya pili nchini humo imeanza mwaka 1998 ambayo imeididimiza zaidi nchi hiyo. Ni vita ambayo imehusisha wanajeshi wa kigeni (kutoka nchi za kigeni 7) ni vita ambayo ni mbaya zaidi ukiiondoa Vita kuu ya Pili ya Dunia (World War II) – mwaka 2008 vita vya pili vya Congo na mpaka hivi vinavyoendelea, vimegharimu maisha ya zaidi ya watu 5.4 million. #2. Liberia Pato la taifa: dola 456 (mwaka 2011) Nchi ya Liberia ni moja ya nchi chache za kiafrika ambazo hazijatawaliwa na watu wa Ulaya Europe. Badala yake, nchi hii ya Liberia ilikuwa ni makao ya watumwa waliorudishwa kutoka nchini Marekani baada ya kusitishwa biashara ya watumwa. Watumwa hawa ndiyo wakatumia kisomo chao kisha wakaanzisha serikali ambayo kwa kila namna inafanana na ile ya Marekani. Mwaka 1980 aliyekuwa rais wan chi hiyo alipinduliwa kisha kikafuata kipindi cha kupotea kwa amani na vita vya ndani. Baada ya mauaji ya mamia kwa maelfu ya watu, mwaka 2003 mpango wa amani ambao ulipelekea uchaguzi huru na wa amani mwaka 2005 ulisainiwa. Leo, Liberia inakabiliwa na athari za vita vya ndani hata kusababisha uchumi wake kuyumba kwa kiasi kikubwa, ikiwa na zaidi ya 85% ya watu wake wakiishi chini ya dola moja kwa siku. #3. Zimbabwe Pato la taifa: dola 487 (mwaka 2011) Serikali ya Zimbabwe ilitoa taarifa za kibenki ambayo ilionesha dola 100 trillion mnamo mwezi January, 2009. Pia kutokana na matatizo ya kiuchumi, umri wa kuishi nchi humo ni ndogo zaidi duniani ikiwa ni miaka 37 kwa wanaume na miaka 34 kwa wanawake. Moja ya tatizo la vifo vya mapema ni kuwa 20.1% ya watu wake wana maambukizi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI. Suala la afya katika nchi hii halijaimarishwa. #4. Burundi Pato la taifa: dola 615 (mwaka 2011) Nchi ya Burundi inafahamika kutokana na vita vya ukabila na vya wenyewe kwa wenyewe. Burundi haina jata mara moja kipindi chochote cha amani hata kusababisha kuwa nafasi ya nne katika orodha hii. Haina Jiografia nzuri, mfumo mbovu wa serikali, hakuna uhuru wa uchumi, uhaba wa shule hata kusababisha kuwa na wasomi wachache, maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI. Inakisiwa kuwa 80% ya warundi wanaishi katika umasikini mkubwa na kwa mujibu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, 57% ya watoto walio chini ya umri wa miaka 5 hawapati chakula bora. #5. Eritrea Pato la taifa: dola 735 (mwaka 2011) Nchi hii imeathiriwa zaidi na ukoni wa Italia katika karne ya 19. Kutokana na kuwa katika ule mfereji wa Suez mchi hii imejikuta ikitawaliwa na Italia mwaka mmoja tu tangu kufunguliwa kwake mwaka 1869 na kwa sababu hiyo hiyo Uingereza ikaitawala mwaka 1941. Leo hali ya uchumi wa Eritrea haijaimarishwa na pato la taifa limekuwa kwa 1.2% kati ya mwaka 2005 na 2008; mwaka 2009 pato lilikuwa kwa wastani wa 2.0%. Nchi nyingine ni; #6. Jamhuri ya Afrika ya Kati #7. Niger #8. Sierra Leone #9. Malawi #10. Togo #11. Madagascar #12. Afghanistan #13. Guinea #14. Mozambique #15. Ethiopia #16. Mali #17. Guinea-Bissau #18. Comoros #19. Haiti #20. Uganda

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

Δεν υπάρχουν σχόλια:

Δημοσίευση σχολίου